Karibuni Manispa ya Iringa.
Iringa ni Mkoa unaojivunia kwa kilimo Cha Mahindi.
Tazama picha chini ni Mkazi wa Iringa Eneo la kijiji
cha Kalenga akipalilia shamba la Mahindi.
Mkoa wa Iringa una vivutio vingi sana kati ya hivyo ni pamoja na
TOSAMAGANGA WATER FALLS
MAKUMBUSHO YA MTWA MKWAWA (Kalenga)
Historia ya zama za kale za mawe (Isimala historical site)





Hakika Iringa ni mji wa kifahari
ReplyDelete