Thursday, July 21, 2016

FUMBUA MACHO.

Fumbua Macho Uone fulsa.
Ukiwa gizani uwezi kuona lolote linalotendeka lakini uwashapo taa utaona kila kitu na hapo ndipo hata woga uliosababishwa na lile giza hutoweka na tumaini hurejea.

Ufumbuapo macho ya fikra na mitazamo ndipo matumaini ya kesho hurejea.

Fumbaa macho na uyaelekeze shambani uone fulsa za pesa,
 tazamaa kijana huyo baada ya kuona kuwa shambani kuna fulsa mbalimbali za kifedha na kuamua kulima zao la kitunguu maji ambalo limempandisha sana kiuchumi.




Hivi ndivyo fulsa sinavyo tazamwa na kutumiwa ipasavyo kwa wale wenye mitazamo chanya kama kijana huyu.

Ukionapo pichani ni kitunguu maji ambacho kwa sasa kina umli wa miezi 3 bado mwezi mmoja tu. pesa iaze kuingia.













Jinsi kazi ilivyokuwa ikifanywa tazamaa video hapa chini.











Thursday, March 12, 2015

IRINGA CENTER OF INFORMATION

                               Karibuni Manispa ya Iringa.



                                      Iringa ni Mkoa unaojivunia kwa kilimo Cha Mahindi.
                                      Tazama picha chini ni Mkazi wa Iringa Eneo la kijiji
                                       cha Kalenga akipalilia shamba la Mahindi.
Mkoa wa Iringa una vivutio vingi sana kati ya hivyo ni pamoja na

                                                 TOSAMAGANGA WATER FALLS

                                       MAKUMBUSHO YA MTWA MKWAWA (Kalenga)

                                    Historia ya zama za kale za mawe    (Isimala historical site)